Seyed Reza Hosseini Nassab

Grand Ayatollah Seyed Reza Hosseini Nassab (amezaliwa 22 Novemba 1960) ni kiongozi wa Washia, ambaye anaishi nchini Kanada.

Picha yake.

Yeye alikuwa rais na imamu wa kituo cha Uislamu huko Hamburg (Imam Ali Moschee Hamburg), Ujerumani.

Tangu mwaka 2003, aliwahi kuwa rais wa Shirikisho la Washia Uislamu "Ahlul Bayt Bunge" huko Kanada]na imam wa Imam Mahdi Islamic Centre ya Toronto.

Machapisho hariri

Hosseini Nassab ameandika machapisho zaidi ya 50 kuhusu teolojia ya Kiislamu, Washia, falsafa na mantiki. Machapisho yake ni pamoja na:

  • Washia anaitikia
  • Teaching philosophy
  • Religion and Politics
  • Rights of Women
  • Vijana
  • Imam Hossein
  • Social Ethics
  • Formal Logic

Viungo vya Nje hariri