Majadiliano ya mtumiaji:Oscar Kikoyo

(Elekezwa kutoka Majadiliano ya mtumiaji:Carlin Oscar Kikoyo)
Latest comment: miaka 2 iliyopita by Carlin Oscar Kikoyo in topic Baraza la Kiswahili la Taifa


The name Carlin is of Irish origin which means “A little champion”

Origin of Carlin as a name hariri

Carlin name is of Irish origin which means Little champion. The name is multisex as it can be of both male or female gender Carlin Oscar Kikoyo (majadiliano) 08:39, 2 Julai 2021 (UTC)Reply

Baraza la Kiswahili la Taifa hariri

Ndugu umerudia kuingiza katika makala hii matini ambayo nimewahi kusafisha nikieleza sababu kwenye ukursa wa majadiliano wa makala. Naona wewe bado mgeni tafadhali uzoee utaratibu: ukiona mabadiliko ukitofautiana na wachangiaji wengine, tuna utaratibu wa kujadiliana na kuelezana. Kipala (majadiliano) 09:50, 12 Januari 2022 (UTC)Reply

Sawa na samahani kwa usumbufu wangu
sababu mojawapo ni baada ya kutafuta mojawapo ya habari hizo na kuzipata za Kiingereza hivyo nikaona kutafuta tafsiri yake na kuongezea katika habari kuhusu BAKITA kwenye wikipedia.
Asante kwa kunielewesha. Carlin Oscar Kikoyo (majadiliano) 13:55, 13 Januari 2022 (UTC)Reply
Return to the user page of "Oscar Kikoyo".