Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Naitwa faustine manota,nimezaliwa tarehe 5 ya mwezi wa 4 mwaka 1998.katika familia yetu mie ni mtoto wa 3 kwa upande wa baba na mama mmjo lakn ni mtoto wa 4 kwa upande wa mama.katika upande wa baba mie ni mtoto wa 6.

Nimeanza shule ya msingi mwaka 2005 katika shule ya msingi NTIGU iliyopo mkoani TABORA wilaya ya IGUNGA tarafa ya MANONGA,Kata ya NDEMBEZI(Kwa miaka ile lakini kwa sasa inaitwa kata ya kitangili).
Nimehitimu masomo yangu ya msingi mwaka 2012 Na nikabahatika kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2013 katika shule ya kata(Ndembezi).
***

"MAENDELEO YANGU YA KIELIMU"

 Katika elimu yangu kiujumla nikiwa darasa la kwanza hadi la tatu maendeleo yangu kitaaluma  hayakuwa mazuri,nilikuwa sijui kusoma wala kuandika .nilipofika darasa la 3 mwezi wa 6(mhura wa pili) wazazi nyumbani walinipigania hadi nikajua kusoma na kuandika na ni pale ambampo maendeleo yangu darasani yakabadirika na kuwa mwanafuzi mwenye uwezo na hakili..