Mdantown
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
Mdantown
haririNi msanii wa muziki wa hiphop tokea nchini Tanzania. Amezaliwa mnamo mwaka 1993-02-20. Jina lake kamili ni Martin Isakwisa Mwakyusa.
Ni mtoto wa kwanza kati ya wadogo zake wa tatu.
Katika familia ya mzee isakwisa ambaye aliamia kikazi jijini dar es salam wakati huo Mdantown akiwa na mwaka 3 (1996).
Mnamo mwaka 2001 alijiunga na masomo ya shule ya msingi na kumaliza mwaka 2007 elimu hiyo ya msingi.
Mwaka 2008 alianza rasmi elimu ya o level mpaka mwaka 2011 alipo hitimu masomo yake ya o level na kushindwa kuendelea na a level.
Mwaka 2014 aliamia tena mkoani mbeya na ndipo akajiingiza kwenye harakati za muziki, Mwaka 2019 alianzisha kundi lake la mziki lililo kuwa likiwakilisha hiphop, lililokuwa likijulikana kama watunyomi kundi ambalo rasmi lilianzishwa na watu wawili nao ni.
Mdantown pamoja Plus II baadae akaja Lunga The Best pamoja na Utumbo Wa Chuma na baada ya hapo akaja E.j wakati huo Mdantown akiwa kama mwenyekiti wa kundi hilo la watunyomi mpaka leo.
Hip-Hop Kwanza
haririNi taasisi ya mziki inayojiusisha na kutoa sapoti kwa wasanii wachanga wanaojitafuta katika mziki.
Taasisi hii ilianzishwa mnamo Julai 20-2016 na makao makuu yake yake mkoani mbeya.
Mwanzilishi wa taasisi hii ya hiphop kwanza ni martin mwakyusa ambaye ni mwanaharati wa mziki wa hiphop tokea kyela, mbeya Tanzania.
Mbali kuwa mwana harakati wa mziki huo wa hiphop.
Lakini pia ni balozi wa hiphop tokea kyela.
Alianzisha taasisi kwa lengo la kuwa promote wasanii wadogo hasa wanaofanya mziki wa hiphop tuu.
Kupitia taasisi ya hiphop kwanza hapa utapata kuwajua wasanii wanao chipukia katika tasnia ya mziki ususani katika misingi ya hiphop na utamaduni wake.
Hapa utapata habari za wasanii, maisha yao, mitindo yao na vile wanavyo ishi katika jamii zao.
Taasisi hii pia inaandaa matamasha mbali mbali ya kuwakutanisha pamoja wasanii hao wadogo na kuwapa elimu zaidi kupitia majadala ya mitandao.
Mbali na hayo yote lakini pia inaandaa projekti ambazo zinajengea uzoefu chipukizi hao.
Watu-Nyomi
haririNi kundi la hiphop linalopatikana nchini Tanzania.
Mkoani mbeya wilayani kyela. Lilianzishwa mwaka 2019 chini ya Mdantown pamoja na Plus II ambao walikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2014 ambao Mdantown alikuwa ametokea dar es salam na kwa mara nyingine Mdantown anafika mkoani mbeya akiwa ameshakuwa mtu mzima.
Wakali hawa wawili wakaamua kuanzisha kundi ambalo lilifahamika kama koo tatu (sura ya mtaa) ambalo kundi hili lilikuwa na watu watatu kama jina lao lilivyokuwa linajieleza.
Hapa alikuwa vany waujama kwa kipindi hicho ambaye kwa sasa Mdantown halafu alikuwa danger more kwa kipindi kile ambaye sasa ni Plus II napia alikuepo black again ambae yeye akudumu sana kwenye kundi ambae aliamua kuacha mziki kwa kipindi kile na kubakia kuwa mtu wa kuwasapoti wenzake.
Wakati huo bado wanajiita koo tatu mpaka kufikia mwaka 2019 kundi hilo lilivunjika na ndo mwanzo wa watu-nyomi kuanzishwa rasmi na wakali hao wawili.
Vany waujamaa pamoja na danger more kwa kipindi hicho mpaka kufikia 2020 kundi likawa kubwa.