Karibu Nd. Robert Desjardins katika Wikipedia ya Kiswahili! Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Kwa sasa tupo wachache - sanasana utamwona Flowerparty, Mr. Accountable, Mimi na Baba Tabita kwa mbaaali, ambao tuko tayari kwa kukusaidia! Ukiwa una swali, uliza. Pia ni vyema kuanzisha ukurasa wako wa mtumiaji ili mradi kuonyesha ni lugha gani unayotumia! Wako Muddyb au,--Muddyb MwanaharakatiLonga 06:23, 20 Agosti 2009 (UTC)Reply