Makubaliano ya kimataifa ya kuwalinda watu wote dhidi ya upoteaji

Makubaliano ya kimataifa ya kuwalinda watu wote dhidi ya upoteaji (kwa Kiingereza: The International Convention for the Protection of All Persons from Enforced Disappearance) ni chombo cha kimataifa cha haki za binadamu chenye lengo la kuzuia utowekaji wa watu kwa lazima (uhalifu dhidi ya ubinadamu).

Makubaliano hayo yalipitishwa na mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa tarehe 20 Desemba 2006 na kufunguliwa rasmi kwa sahihi tarehe 6 Februari 2007, na uliingia kwenye utekelezaji tarehe 23 Desemba 2010. [1] As of October 2019, 98 states have signed the convention and 62 have ratified it.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Iraq Paves Way for UN Treaty on Enforced Disappearance". United Nations. 2010-11-25. Iliwekwa mnamo 2010-11-28.
  2. "International Convention for the Protection of All Persons from Enforced Disappearance". UNTC. Iliwekwa mnamo 2010-11-27.
  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makubaliano ya kimataifa ya kuwalinda watu wote dhidi ya upoteaji kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.