Makutupora (Manyoni)

(Elekezwa kutoka Makutopora)

Kuhusu kata ya Dodoma yenye jina la kufanana angalia Makutupora (Dodoma Mjini)

Makutupora ni kata ya Wilaya ya Manyoni katika Mkoa wa Singida, Tanzania, yenye msimbo wa posta 43405.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 9,416 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,635 waishio humo.[2]

Makutupora iliteuliwa kuwa na kituo cha reli ya SGR Tanzania; awamu ya pili ya reli hii ilianza kujengwa mwaka 2019 kati ya Morogoro na Dodoma - Makutupora [3].

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Manyoni - Mkoa wa Singida - Tanzania  

Chikola | Chikuyu | Heka | Isseke | Kintinku | Majiri | Makanda | Makuru | Makutupora | Manyoni | Maweni | Mkwese | Muhalala | Nkonko | Sanza | Saranda | Sasajila | Sasilo | Solya


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makutupora (Manyoni) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.