Malak Hifni Nasif

Mwanaharakati wa wanawake Mmisri

Malak Hifni Nasif (25 Disemba 1886 - 17 Oktoba 1918) alikuwa mwanaharakati wa Misri mwenye mchango mkubwa katika mjadala wa kiakili na Kisiasa juu ya maendeleo ya wanawake wa Misri mwanzoni mwa karne ya 20[1]

Malak Nasif
Malak Hifni Nasif
Malak Hifni Nasif

Maisha ya Awali

hariri

Malak alizaliwa mjini Kairo mwaka 1886 katika familia ya tabaka la kati. Mama yake aliitwa Saniyyah Abd al-Karim Jalal na baba yake aliitwa Hifni Bey Nasif, alikuwa wakili katika chama cha Muhammad Abduh's. Alisoma kwa mala moja katika shule ya kiislam ya Al-Afghani, alikua mwandishi wa vitabu kadhaa vilivyotumika katika shule za Misri pia alikua ni mmoja wa watia sahini wa tano katika maandishi 1342 ya Kairo.[2]

Marejeo

hariri
  1. Hatem, Mervat F. (1994). "Egyptian Discourses on Gender and Political Liberalization: Do Secularist and Islamist Views Really Differ?". Middle East Journal. 48 (4): 661–676. ISSN 0026-3141.
  2. Brockett, Adrian Alan (1985), Studies in two transmissions of the Qur'an (kwa Kiingereza), University of St Andrews, iliwekwa mnamo 2022-03-04
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malak Hifni Nasif kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.