Mama Sita ni wimbo wa msanii toka Uganda anajulikana kwa jina lake la hatua Promoter Musa, akimshirikisha msanii Mayestron kwenye sauti ya wimbo huo.

“Mama Sita”
Single ya Promoter Musa akimshirikisha Mayestron
Imetolewa 27 Mei, 2021
Muundo Upakuzi mtandaoni
Imerekodiwa 2020
Aina pop
Urefu 3:34
Studio MP Music Publishing
Peloomic Inc
Mtunzi Mayestron
Promoter Musa
Herbert Skillz
Mtayarishaji Herbert Skillz
Mayestron
Promoter Musa
Video ya muziki
"Mama Sita" katika YouTube

Wimbo huu umetayarishwa na mtayarishaji mkubwa nchini Uganda kwa jina kama Herbert Skillz, na bila kusahau Mayestron naye amechangiya kwenye ku rekodi sauti na kuchanganya. Wimbo huu ulirekodiwa mwaka wa mwanzoni mwa 2020 na ukatolewa mwaka wa 2021, Mei 27 kwenye mtandao wa Audiomack ndani ya week moja umevunja rekodi yakupata zaidi ya laki moja[1].

  1. "Usikilize wimbo wa Mama Sita Hapa". Audiomack.com. Iliwekwa mnamo 2021. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help)