27 Mei

tarehe
(Elekezwa kutoka Mei 27)
Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 27 Mei ni siku ya 147 ya mwaka (ya 148 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 218.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Augustino wa Canterbury, Julio wa Silistra, Restituti wa Roma, Eutropi wa Orange, Bruno wa Wurzburg, Barbara Kim, Barbara Yi, Atanasi Bazzekuketta, Gonzaga Gonza n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 27 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.