Manda (kisiwa)

Kisiwa cha Manda Lamu

Manda ni kisiwa cha funguvisiwa la Lamu, kaunti ya Lamu, nchini Kenya.

Kisiwa cha Manda

Kinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Safari yake ni nusu saa kwa jahazi tanga kutoka Lamu.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri