Manuel Casesnoves Soler na Adela Soldevila Galiana
Manuel Casesnoves Soler (30 Juni 1904 – 24 Mei 1958) na Adela Soldevila Galiana de Casesnoves, TOSD (5 Mei 1906 – 3 Machi 1988) walikuwa wanandoa wa Hispania kutoka Xàtiva wanaozingatiwa kwa mchakato wa kutangazwa wenye heri (beatification) ndani ya Kanisa Katoliki.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Siervos de Dios Manuel Casesnoves y Adela Soldevila. Nacimiento y primeros pasos". La Seu Xàtiva (kwa Kihispania). 9 Oktoba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |