Manuhangi ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa la Tuamotu. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Paraoa.

Manuhangi.

Eneo la kisiwa ni km² 1. Wakati wa sensa wa mwaka wa 2012, hakukuwa na wakazi.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.