Pepo

(Elekezwa kutoka Mapepo)

Pepo ni roho wachafu au wabaya wenye nguvu za Kishetani wanaoweza kumshawishi mtu atende mabaya na hata kumwingilia kwa lengo la kumharibia maisha yake kiroho na kimwili.

Pepo mchafu akiwa angani

Roho hizo huweza kufikia hatua ya kumpagaa mtu ili kumwendesha afanye mambo mbalimbali kwa kutojielewa kuliko kwa kulewa sana, kama vile kuropoka, kupiga, kurukaruka, kufanya uasherati n.k.

Icon-religion.svg Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.