Marc Connelly

Marcus Cook Connelly (13 Desemba 189021 Desemba 1980) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1930, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Green Pastures.

Marc Connelly, 1937
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marc Connelly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.