Marcel Desailly

Mchezaji mpira wa Ufaransa

Marcel Desailly (alizaliwa Odenke Abbey, mnamo 7 Septemba 1968) ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa aliyestaafu, ambaye alicheza kama kiungo wa kati na alikuwa miongoni mwa wachezaji walioisaidia Ufaransa kushinda kombe la Dunia la FIFA mwaka 1998 na Euro 2000.

Wakati wa mafanikio ya kazi katika ngazi ya klabu, tangu mwaka 1986 hadi 2006, Desailly alishinda medali ya UEFA Champions League na Marseille na Milan, na pia alicheza Nantes na Chelsea.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcel Desailly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.