Margaret Ballinger

Mwanasiasa wa Afrika Kusini

Margaret Ballinger (née Hodgson ; 18941980) alikuwa Rais wa kwanza wa Chama cha Liberal Party of South Africa na Mbunge nchini Afrika Kusin. Mnamo 1944, Ballinger alijulikana kama "Queen of the Blacks" na jarida la TIME . [1]

Margaret Ballinger

Margaret Ballinger (1894-1980), Rais wa kwanza wa Chama cha Liberal cha Afrika Kusini na Mbunge wa Afrika Kusini.
Amekufa 1980
Nchi Bendera ya Afrika Kusini South Africa
Kazi yake Mwanasiasa

Wasifu

hariri

Margaret Hodgson alizaliwa Glasgow, Scotland mwaka 1894 na kuhamia Afrika Kusini na familia yake alipokuwa mtoto. Baba yake alifika kabla tu ya Vita vya Boer na kuishia kupigana na Waingereza. Hodgson (Ballinger) alisoma katika Chuo cha Huguenot huko Wellington kabla ya kuendelea na masomo yake huko Uingereza. Huko Uingereza alienda Chuo cha Somerville, Oxford .

Marejeo

hariri
  1. South Africa:Queen of the Blacks, Time Magazine, 3 July 1944, accessed March 2010
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margaret Ballinger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.