Margaret Simwanza Sitta

Margaret Simwanza Sitta (amezaliwa tarehe 24 Julai 1947) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Urambo kwa miaka 20152020. [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017