Mariamu Nassoro Kisangi

mwanasiasa wa tanzania

Mariamu Nassoro Kisangi (amezaliwa tarehe 8 Agosti 1962) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalumu kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017