Marie Höbinger

mchezaji soka wa Australia

Marie Therese Höbinger (alizaliwa 1 Julai 2001) ni mchezaji wa soka wa nchini Austria ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya FFC Turbine Potsdam kwenye ligi ya Ujerumani ya Frauen-Bundesliga na anacheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Austria.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie Höbinger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.