Mario Rizzi
Mario Rizzi (3 Machi 1926 – 13 Aprili 2012) alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Italia mwenye cheo cha Balozi wa Papa nchini Bulgaria kuanzia 1991 hadi 1996.
Alipadrishwa mwaka 1948 akateuliwa kuwa askofu wa jimbojina la Bagnoregio mwaka 1991.[1]
Marejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |