Marius Wolf

Marius Wolf (alizaliwa 27 Mei 1995) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama winga au mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund.

Marius Wolf akiwa mazoezini.

Mnamo tarehe 28 Mei 2018, Wolf alijiunga na Borussia Dortmund kwa mkataba wa miaka mitano kwa ada ya milioni 5.


Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marius Wolf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.