Marlon Santos
Marlon Santos da Silva Barbosa (alizaliwa 7 Septemba 1995 anayejulikana kama Marlon) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama beki wa klabuya Hispania iitwayo Barcelona.
Barcelona
haririmnamo 8 Juni 2016, Marlon Santos alijiunga na klabu ya Barcelona iiliyopo nchini Hispania kwa mkopo wa muda mrefu.
Marlon alicheza kwa mara ya kwanza katika kikosi kikuu cha Barcelona mnamo 23 Novemba 2016 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa ya Kundi C dhidi ya klabu ya Celtic, akiwa kama mchezaji aliongia katika dakika ya 72 kama mbadala wa Gerard Piqué. Alicheza mechi yake ya kwanza katika La Liga dhidi ya Las Palmas.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marlon Santos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |