Marmolada ni mlima wa Alpi katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Mlima wa Marmolada

Urefu wake ni mita 3,343 juu ya usawa wa bahari, hivyo unazidi milima yote ya Dolomiti.

Tazama pia hariri