Martha Jachi Umbulla

Martha Jachi Umbulla (10 Novemba 1955 - 21 Januari 2021) alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020[1]. Alifariki 21 Januari 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu[2].

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbunge-ccm-afariki-dunia-3264306