Martina Ohadugha

Mchezaji wa soka wa Nigeria

Martina Ohadugha (alizaliwa 5 Mei 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Wanawake ya Rivers Angels na timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria.[1][2]

Martina Ohadugha
Amezaliwa 5 Mei 1991
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Kazi ya Kimataifa hariri

Alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya Nigeria katika Mashindano ya Wanawake ya Afrika mwaka 2012 na 2014, na kuishinda ile ya mwisho. Pia alikuwa sehemu ya Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA la mwaka 2015.[3]

Marejeo hariri

  1. "List of Players – 2015 FIFA Women's World Cup", Fédération Internationale de Football Association. Retrieved on 20 June 2015. Archived from the original on 2016-04-10. 
  2. "Okon picks Oshoala, Nwabuoku, 21 others for World Cup". thenff.com. 27 May 2015.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Okon picks Oshoala, Nwabuoku, 21 others for World Cup". thenff.com. 27 May 2015.  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martina Ohadugha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.