Marvel Studios

(Elekezwa kutoka Marvel studios)

Marvel Studios (ilijulikana kama Marvel films tangu mwaka 1993 hadi 1996) ni kampuni ya kutengeneza filamu ya huko nchini Marekani ambayo ni tawi la The Walt Disney Studios.

Hii ni nembo ya Marvel Studios

Marvel Studios inafahamika sana kwa utoaji wa filamu za Marvel cinematic Universe ambazo zimeweza kukusanya pesa takribani $22.5 bilioni (dola bilioni 22.5) huku katika hizo Avengers:Endgame imekusanya $2.8 bilioni(dola bilion 2.8) Duniani kote[1].

Marvel Studios wameweza kutoa filamu Ishirini na tatu tangu mwaka 2008 hadi sasa. Filamu ya kwanza ilikua ni Iron Man (2008) na filamu ya mwisho ni Spider-Man: Far From Home (2019). Filamu hizi huwa na mwendelezo wa Moja na nyingine[2].

Marejeo hariri

  1. DeMott, Rick (November 13, 2009). "Marvel Studios Promotes Louis D'Esposito to Co-President". Animation World Network. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo October 4, 2013. Iliwekwa mnamo October 2, 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Sciretta, Peter. "A Tour of the Marvel Studios Offices", /Film, April 18, 2017. 
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marvel Studios kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.