Mashimba Mashauri Ndaki

Mwanasiasa nchini Tanzania

Mashimba Mashauri Ndaki ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Maswa Magharibi kwa miaka 20152020. [1] Mwaka 2020 alichaguliwa na Rais John Magufuli kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania.

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017