Masuguru (Nanyumbu)

Kwa maana nyingine ya jina hili angalia Masuguru

Masuguru ni kata ya Wilaya ya Nanyumbu katika Mkoa wa Mtwara, Tanzania.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,787 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,945 waishio humo.[2]

Msimbo wa posta ni 63610.

Kata hii haina sekondari. Ina vijiji vitatu vya Masuguru, Lukula na Lukwika.

Upande wa kusini ya Masuguru kwenye kitongoji cha Mtambaswala kuna Daraja la Umoja linalovuka mto Ruvuma na kuwezesha usafiri kwa magari kati ya Tanzania na Msumbiji.

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Nanyumbu - Mkoa wa Mtwara - Tanzania  

Chipuputa | Kamundi | Kilimanihewa | Likokona | Lumesule | Mangaka | Maratani | Masuguru | Michiga | Mikangaula | Mkonona | Mnanje | Nandete | Nangomba | Nanyumbu | Napacho | Sengenya


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Masuguru (Nanyumbu) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.