Matabeleland Kaskazini

(Elekezwa kutoka Matabeleland North)

Matabeleland Kaskazini ni mkoa wa Zimbabwe upande wa kaskazini wa Bulawayo. Mkoa umepakana na Bulawayo, Matabeleland Kusini, Midlands na Mashonaland Magharibi. Kuna mipaka ya kimataifa na Zambia upande wa kaskazini kwenye mto Zambezi na Botswana upande wa kusini-magharibi.

Mkoa wa MAtabeleland Kaskazini katika Zimbabwe
Mkoa wa MAtabeleland Kaskazini katika Zimbabwe

Kuna wakazi 828,000 (2022[1]) katika eneo la kilomita za mraba 75,025.

Makao makuu ya mkoa yapo mjini Lupane.

Miji mikubwa kidogo ni Hwangwe na Victoria Falls.

Mkoa unavutia watalii hasa kwa maporomoko ya Victoria Falls na hifadhi ya taifa ya Hwangwe.

Utawala hariri

Matabeleland Kaskazini kuna wilaya 7:

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Matabeleland Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.