Matai
Matai ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Kalambo katika Mkoa wa Rukwa, Tanzania.
Matai | |
Mahali pa Matai katika Tanzania |
|
Majiranukta: 8°17′52″S 31°31′18″E / 8.29778°S 31.52167°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Rukwa |
Wilaya | Sumbawanga Vijijini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 16,335 |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ya Matai ilikuwa na wakazi wapatao 16,335 waishio humo.[1]
Kata hii iliwahi kuwa sehemu ya Wilaya ya Sumbawanga Vijijini ikahamishwa kwenye wilaya mpya ya Kalambo mwaka 2012.
Marejeo hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Matai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
Kata za Wilaya ya Kalambo - Mkoa wa Rukwa - Tanzania | ||
---|---|---|
Kasanga | Katazi | Katete | Kilesha | Kisumba | Legeza Mwendo | Mambwekenya | Matai | Mkali | Mkowe | Mnamba | Msanzi | Mwazye | Mwembenkoswe | Mwimbi | Sopa | Ulumi |