Matetereka ni kata ya Wilaya ya Madaba katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania.

Kata ya Matetereka
Nchi Tanzania
Mkoa Ruvuma
Wilaya Madaba
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 4,730

Kijiji cha Matetereka kinasemekana kuna mabaki ya mwisho wa Ruvuma Development Association (RDA) baada ya kufutwa kwake na serikali mnamo mwaka 1969.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 4,730 [1].

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Kata za Wilaya ya Madaba - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania
 

Gumbiro | Lituta | Mahanje | Matetereka | Matumbi | Mkongotema | Mtyangimbole | Wino

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Matetereka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.