Kuhusu Madaba katika nchi ya Yordani angalia Madaba (Yordani)

Mahali pa Madaba katika Mkoa wa Ruvuma

Wilaya ya Madaba ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Ruvuma, kusini mwa Tanzania. Mwaka 2016 maeneo yake yalitengwa na Wilaya ya Songea Vijijini.

Mnamo mwaka 2015 wilaya ilikadiriwa kuwa na wakazi 52,005[1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 65,215 [2].

Wilaya ya Madaba iko upande wa kaskazini wa Mkoa wa Ruvuma; makao makuu si mbali na barabara ya B4.

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara, April, 2016. Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wizara ya Fedha na Mipango
  2. https://www.nbs.go.tz
  Kata za Wilaya ya Madaba - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania
 

Gumbiro | Lituta | Mahanje | Matetereka | Matumbi | Mkongotema | Mtyangimbole | Wino

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Madaba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.