Matopeni, Nairobi ni mtaa fukara[1] ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika eneo bunge la Embakasi ya Kati. Pamoja na Spring Valley unaunda kata mojawapo ya kaunti ya Nairobi.

Tanbihi hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-18.