Spring Valley, Nairobi
Spring Valley, Nairobi ni mtaa wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika eneo bunge la Embakasi ya Kati. Pamoja na Matopeni unaunda kata mojawapo ya kaunti ya Nairobi.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Spring Valley, Nairobi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |