Maulid Saleh Ali
Maulid Saleh Ali ni mwanasiasa mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Welezo kwa miaka 2020 – 2025. [1] Mnamo mwaka 2005 mpaka 2005 alikua ni karani katika shirika la Risk Department ilipofika mwaka 2008 hadi 2010 alifanya kazi katika ofisi ya mawaziri. mnamo 2011 mpaka 2020 alikua Mhasibu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.
Marejeo
hariri- ↑ Orodha la wabunge wa Tanzania, iliangaliwa Aprili 2022
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |