Karani (kutoka neno la Kiarabu قرا kusoma[1]) ni mtu ambaye hufanya kazi za ofisini katika taasisi za serikali au kampuni au mwajiri mwingine yeyote.

Karani wa manispaa, mchoro wa Albert Anker, 1874.

Wajibu wa karani ni pamoja na utunzaji wa kumbukumbu na majukumu mengine ya kusaidia utawala. [2]

Marejeo

hariri
  1. linganisha kamusi ya Krapf, 1882 "karani"
  2. "Merriam Webster, definition of clerical worker". Iliwekwa mnamo 2007-06-07.