Wabunge wa Tanzania 2020

Wabunge wa Tanzania ni wawakilishi wa taifa katika Bunge la Tanzania wakichaguliwa mara moja kila baada ya miaka mitano kuingia katika Bunge la Tanzania. Wananchi wanapiga kura katika majimbo yao. Pia, kuna viti maalum vya wanawake na wabunge hadi 10 wanaoteuliwa na Rais.

Vyama bungeni tangu 2020 hariri

Vyama vinavyofuata vina Wabunge waliochaguliwa katika uchaguzi wa 2020[1]:

Jina na rangi
Chama Cha Mapinduzi ( CCM)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)
Alliance for Change and Transparency (ACT)
Civic United Front (CUF)
( "50%" inaonyesha idadi ya wabunge waliohitajika kuwa na kura nyingi kwa uhakika bungeni)
↓ 50%
363
20
4
3
1
Chama Cha Mapinduzi
CHADEMA
ACT
C
N

Wabunge wa Tanzania, kupangwa kwa majina hariri


Jina la mbunge Jimbo Chama cha kisiasa
Tarimba Gulam Abbas Kinondoni CCM
Sagini Jumanne Abdallah Butiama CCM
Hamida Mohamedi Abdallah Lindi Mjini CCM
Maida Hamad Abdallah Viti Maalum CCM
Ahmed Yahya Abdulwakil Kwahani CCM
Abdulaziz Mohamed Abood Morogoro Mjini CCM
Khadija Hassan Aboud Viti Maalum CCM
Tulia Ackson Mbeya Mjini CCM
Stella Ikupa Alex Viti Maalum CCM
Mohammed Maulid Ali Kiembesamaki CCM
Khamis Kassim Ali Mgogoni CCM
Maulid Saleh Ali Welezo CCM
Hussein Nassor Amar Nyang'hwale CCM
Ameir Abdalla Ameir Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi CCM
Wanu Hafidh Ameir Viti Maalum CCM
Jeremiah Mrimi Amsabi Serengeti CCM
Abubakar Damian Asenga Kilombero CCM
Jumaa Hamidu Aweso Pangani CCM
Bakar Hamad Bakar Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi CCM
Hussein Mohamed Bashe Nzega Mjini CCM
Innocent Lugha Bashungwa Karagwe CCM
Nashon William Bidyanguze Kigoma Kusini CCM
Innocent Sebba Bilakwate Kyerwa CCM
Doto Mashaka Biteko Bukombe CCM
Ester Amos Bulaya Viti Maalum CHADEMA
Zuena Athumani Bushiri Viti Maalum CCM
Rose Vicent Busiga Viti Maalum CCM
Boniphace Nyangindu Butondo Kishapu CCM
Stephen Lujwahuka Byabato Bukoba Mjini CCM
Josephine Tabitha Chagulla Viti Maalum CCM
Hawa Mchafu Chakoma Viti Maalum CCM
Leonard Madaraka Chamuriho Nominated CCM
Pindi Hazara Chana Viti Maalum CCM
Hamad Hassan Chande Kojani CCM
Abdallah Jafari Chaurembo Mbagala CCM
Pius Stephen Chaya Manyoni Mashariki CCM
Abdallah Dadi Chikota Nanyamba CCM
Amandus Julius Chinguile Nachingwea CCM
Ezra John Chiwelesa Biharamulo Magharibi CCM
Ghati Zephania Chomete Viti Maalum CCM
Cosato David Chumi Mafinga Mjini CCM
David Mathayo David Same Magharibi CCM
Kiswaga Boniventura Destery Magu CCM
Festo John Dugange Wanging'ombe CCM
Ravia Idarus Faina Makunduchi CCM
Kavejuru Eliadory Felix Buhigwe CCM
Stella Simon Fiyao Viti Maalum CHADEMA
Suma Ikenda Fyandomo Viti Maalum CCM
Mrisho Mashaka Gambo Arusha Mjini CCM
Pauline Philipo Gekul Babati Mjini CCM
Josephine Johnson Genzabuke Viti Maalum CCM
Boniphace Mwita Getere Bunda CCM
Najma Murtaza Giga Viti Maalum CCM
Seif Khamis Said Gulamali Manonga CCM
Josephat Mathias Gwajima Kawe CCM
Dorothy Onesphoro Gwajima Nominated CCM
Martha Nehemia Gwau Viti Maalum CCM
Haji Amour Haji Makunduchi CCM
Kassim Hassan Haji Mwanakwerekwe CCM
Zahor Mohamed Haji Mwera CCM
Mwantum Dau Haji Viti Maalum CCM
Asia Abdulkarim Halamga Viti Maalum CCM
Juma Usonge Hamad Chaani CCM
Nusrat Shaaban Hanje Viti Maalum CHADEMA
Salim Alaudin Hasham Ulanga CCM
Amina Daud Hassan Viti Maalum CCM
Japhet Ngailonga Hasunga (CPA) Vwawa CCM
Samweli Xaday Hhayuma Hanang' CCM
Juma Othman Hija Tumbatu CCM
Aeshi Khalfan Hilaly Sumbawanga Mjini CCM
Mansoor Shanif Hirani Kwimba CCM
Agnes Elias Hokororo Viti Maalum CCM
Augustine Vuma Holle Kasulu Vijijini CCM
Saada Mansour Hussein Viti Maalum CCM
Iddi Kassim Iddi Msalala CCM
Christine Gabriel Ishengoma Viti Maalum CCM
Khalifa Mohammed Issa Mtambwe ACT
Selemani Said Jafo Kisarawe CCM
Janejelly Ntate James Viti Maalum CCM
Mwantakaje Haji Juma Bububu CCM
Abdulhafar Idrissa Juma Kiwengwa CCM
Asha Abdullah Juma Viti Maalum CCM
Soud Mohammed Jumah Donge CCM
Ally Anyigulile Jumbe Kyela CCM
Jaffar Sanya Jussa Paje CCM
Latifa Khamis Juwakali Viti Maalum CCM
Ritta Enespher Kabati Viti Maalum CCM
Naghenjwa Livingstone Kaboyoka Viti Maalum CHADEMA
Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi Kilosa CCM
Alice Karungi Kaijage Viti Maalum CCM
Jacquline Andrew Kainja Urambo CCM
Agnesta Lambert Kaiza Viti Maalum CHADEMA
Charles Muguta Kajege Mwibara CCM
Selemani Moshi Kakoso Mpanda Vijijini CCM
Joseph George Kakunda Sikonge CCM
Amb. Bashiru Ally Kakurwa Nominated CCM
Medard Matogolo Kalemani Chato CCM
Innocent Edward Kalogeris Morogoro Kusini CCM
Aloyce John Kamamba Buyungu CCM
Ng'wasi Damas Kamani Viti Maalum CCM
Aleksia Asia Kamguna Viti Maalum CCM
Bonnah Ladislaus Kamoli Segerea CCM
Joseph Zacharius Kamonga Ludewa CCM
Isack Aloyce Kamwelwe Katavi CCM
Josephat Sinkamba Kandege Kalambo CCM
Constantine John Kanyasu Geita Mjini CCM
Benaya Liuka Kapinga Mbinga Vijijini CCM
Judith Salvio Kapinga Viti Maalum CCM
Sebastian Simon Kapufi Mpanda Mjini CCM
Masache Njelu Kasaka Lupa CCM
Godfrey Msongwe Kasekenya Ileje CCM
Ally Mohamed Kassinge Kilwa Kusini CCM
Katani Ahmadi Katani Tandahimba CCM
Zainab Athuman Katimba Viti Maalum CCM
Vita Rashid Kawawa Namtumbo CCM
Michael Mwita Kembaki Tarime Mjini CCM
Yahya Ali Khamis Kijini CCM
Khamis Hamza Khamis Uzini CCM
Mwantatu Mbarak Khamis Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi CCM
Mwanaidi Ali Khamis Viti Maalum CCM
Fakharia Shomar Khamis Viti Maalum CCM
Mbarouk Juma Khatib Bumbwini CCM
Munira Mustafa Khatib Viti Maalum CCM
Aida Joseph Khenani Nkasi Kaskazini CHADEMA
Exaud Silaoneka Kigahe Mufindi Kaskazini CCM
Omari Mohamed Kigua Kilindi CCM
Hamisi Andrea Kigwangalla Nzega Vijijini CCM
David Mwakiposa Kihenzile Mufindi Kusini CCM
Ashatu Kachwamba Kijaji Kondoa CCM
Oscar Ishengoma Kikoyo Muleba kusini CCM
Ridhiwani Jakaya Kikwete Chalinze CCM
Salma Rashid Kikwete Nominated CCM
Adelardus Lubango Kilangi (Mwanasheria Mkuu) anaingia ki-cheo
Dorothy George Kilave Temeke CCM
Alfred James Kimea Korogwe Mjini CCM
Charles Stephen Kimei Vunjo CCM
Ali Hassan Omar King Jang'ombe CCM
Elibariki Emmanuel Kingu Singida Magharibi CCM
Omary Juma Kipanga Mafia CCM
Santiel Eric Kirumba Viti Maalum CCM
Stephen Lemomo Kiruswa Mamasita Longido CCM
Mariamu Nassoro Kisangi Viti Maalum CCM
Edward Olelekaita Kisau Kiteto CCM
Jumanne Kibera Kishimba Kahama Mjini CCM
Jesca David Kishoa Viti Maalum CHADEMA
Jackson Gedion Kiswaga Kalenga CCM
Dunstan Luka Kitandula Mkinga CCM
Silvestry Fransis Koka Kibaha Mjini CCM
Leah Jeremiah Komanya Meatu CCM
Omar Issa Kombo Wingwi CCM
Bahati Khamis Kombo [[]] CCM
Zuberi Mohamedi Kuchauka Liwale CCM
Godwin Emmanuel Kunambi Mlimba CCM
Hassan Zidadu Kungu Tunduru Kaskazini CCM
Aloyce Andrew Kwezi Kaliua CCM
Florent Laurent Kyombo Nkenge CCM
Dennis Lazaro Londo Mikumi CCM
Fredrick Edwad Lowassa Monduli CCM
Neema Kichiki Lugangira Viti Maalum CCM
William Vangimembe Lukuvi Ismani CCM
Riziki Saidi Lulida Nominated CCM
Anna Richard Lupembe Nsimbo CCM
Simon Songe Lusengekile Busega CCM
Livingstone Joseph Lusinde Mtera CCM
Robert Chacha Maboto Bunda Mjini CCM
Amina Iddi Mabrouk Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi CCM
Angeline Sylvester Lubala Mabula Ilemela CCM
Stanslaus Shing'oma Mabula Nyamagana CCM
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu Iramba Magharibi CCM
Saashisha Elinikyo Mafuwe Hai CCM
Nicodemas Henry Maganga Mbogwe CCM
Kasalali Emmanuel Mageni Sumve CCM
Tumaini Bryceson Magessa Busanda CCM
Catherine Valentine Magige Viti Maalum CCM
Janeth Elias Mahawanga Viti Maalum CCM
Maryprisca Winfred Mahundi Viti Maalum CCM
Athumani Almas Maige Tabora Kaskazini CCM
Kunti Yusuph Majala Viti Maalum CHADEMA
Kassim Majaliwa Majaliwa Ruangwa CCM
January Yusuf Makamba Bumbuli CCM
Salome Wycliffe Makamba Viti Maalum CHADEMA
Assa Nelson Makanika Kigoma Kaskazini CCM
Ally Juma Makoa Kondoa Mjini CCM
Tunza Issa Malapo Viti Maalum CHADEMA
Anne Kilango Malecela Same Mashariki CCM
Esther Edwin Maleko Viti Maalum CCM
Angelina Adam Malembeka Viti Maalum CCM
George Natany Malima Mpwapwa CCM
Shukrani Elisha Manya Nominated CCM
Stella Martin Manyanya Nyasa CCM
Vedastus Mathayo Manyinyi Musoma Mjini CCM
Martha Festo Mariki Viti Maalum CCM
Agnes Mathew Marwa Viti Maalum CCM
Juliana Didas Masaburi Viti Maalum CCM
Mary Francis Masanja Viti Maalum CCM
Hamad Yussuf Masauni Kikwajuni CCM
Janeth Maurice Massaburi Viti Maalum CCM
Yahaya Omary Massare Manyoni Magharibi CCM
Flatei Gregory Massay Mbulu Vijijini CCM
Kundo Andrea Mathew Bariadi CCM
Esther Nicholus Matiko Viti Maalum CHADEMA
Furaha Ntengo Matondo Viti Maalum CCM
Aysharose Ndogholi Mattembe Viti Maalum CCM
Anthony Peter Mavunde Dodoma mjini CCM
Lucy Thomas Mayenga Viti Maalum CCM
Makame Mnyaa Mbarawa Mkoani CCM
Amour Khamis Mbarouk Tumbe CCM
Amber. Mbarouk Nassor Mbarouk Nominated CCM
Vincent Paul Mbogo Nkasi Kusini CCM
Taska Restituta Mbogo Viti Maalum CCM
Jonas William Mbunda Mbinga Mjini CCM
Mohamed Omary Mchengerwa Rufiji CCM
Issa Ally Mchungahela Lulindi CCM
Halima James Mdee Viti Maalum CHADEMA
Subira Khamis Mgalu Viti Maalum CCM
Neema William Mgaya Viti Maalum CCM
Antipas Zeno Mgungusi Malinyi CCM
Joseph Kizito Mhagama Madaba CCM
Jenista Joackim Mhagama Peramiho CCM
Yahya Ally Mhata Nanyumbu CCM
Esther Lukago Midimu Viti Maalum CCM
Rehema Juma Migilla Ulyankulu CCM
Minza Simon Mjika Viti Maalum CCM
Abdi Hija Mkasha Micheweni CCM
Adolf Faustine Mkenda Rombo CCM
Muharami Shabani Mkenge Bagamoyo CCM
George Huruma Mkuchika Newala Mjini CCM
Kitila Alexander Mkumbo Ubungo CCM
Joseph Michael Mkundi Ukerewe CCM
Haji Makame Mlenge Chake Chake CCM
Alexander Pastory Mnyeti Misungwi CCM
Timotheo Paul Mnzava Korogwe Vijijini CCM
Christina Christopher Mnzava Viti Maalum CCM
Ali Juma Mohamed Shaurimoyo CCM
Asya Mwadini Mohammed Viti Maalum CHADEMA
Noah Lemburis Saputi Mollel Arumeru-Magharibi CCM
Godwin Oloyce Mollel Siha CCM
Mohamed Lujuo Monni Chemba CCM
Daimu Iddi Mpakate Tunduru Kusini CCM
Twaha Ally Mpembenwe Kibiti CCM
Luhaga Joelson Mpina Kisesa CCM
Jesca Jonathani Msambatavangu Iringa Mjini CCM
Shamsia Aziz Mtamba Mtwara Vijijini CUF
Maimuna Salum Mtanda Newala Vijijini CCM
Miraji Jumanne Mtaturu Singida Mashariki CCM
Francis Leonard Mtega Mbarali CCM
Issa Jumanne Mtemvu Kibamba CCM
Hassan Seleman Mtenga Mtwara Mjini CCM
Francis Isack Mtinga Iramba Mashariki CCM
Sospeter Mwijarubi Muhongo Musoma Vijijini CCM
Liberata Rutageruka Mulamula Nominated CCM
Philipo Augustino Mulugo Songwe CCM
Bernadeta Kasabago Mushashu Viti Maalum CCM
Mussa Hassan Mussa Amani CCM
Joseph Kasheku Musukuma Geita CCM
Tabasamu Hamisi Hussein Mwagao Sengerema CCM
Hawa Subira Mwaifunga Viti Maalum CHADEMA
Sophia Hebron Mwakagenda Viti Maalum CHADEMA
Michael Constantino Mwakamo Kibaha Vijijini CCM
Bupe Nelson Mwakang'ata Viti Maalum CCM
Emmanuel Adamson Mwakasaka Tabora Mjini CCM
Atupele Fredy Mwakibete Busokelo CCM
Ummy Ally Mwalimu Viti Maalum CCM
Geoffrey Idelphonce Mwambe Masasi Mjini CCM
Cecil David Mwambe Ndanda CCM
Neema Gerald Mwandabila Viti Maalum CCM
Anton Albert Mwantona Rungwe CCM
Deodatus Philip Mwanyika Njombe Mjini CCM
George Ranwell Mwenisongole Mbozi CCM
Charles John Mwijage Muleba Kaskazini CCM
Hamis Mohamed Mwinjuma Muheza CCM
Mohamed Abdulrahman Mwinyi Chambani CCM
Capt. Abbas Ali Mwinyi Fuoni CCM
Abdullah Ali Mwinyi Mahonda CCM
Maryam Azan Mwinyi Chake Chake CCM
Amina Ali Mzee Viti Maalum CCM
Norah Waziri Mzeru Viti Maalum CCM
Mariamu Ditopile Mzuzuri Viti Maalum CCM
Paulina Daniel Nahato Viti Maalum CCM
Mashimba Mashauri Ndaki Maswa Magharibi CCM
Patrick Alois Ndakidemi Moshi Vijijini CCM
Joyce Lazaro Ndalichako Kasulu Mjini CCM
Deogratius John Ndejembi Chamwino CCM
Ummy Hamisi Nderiananga Viti Maalum CCM
Bahati Keneth Ndingo Viti Maalum CCM
Job Yustino Ndugai Kongwa CCM
Faustine Engelbert Ndugulile Kigamboni CCM
Francis Kumba Ndulane Kilwa Kaskazini CCM
Advocate Damas Daniel Ndumbaro Songea Mjini CCM
Irene Alex Ndyamkama Viti Maalum CCM
Nicholaus George Ngassa Igunga CCM
Kilumbe Shabani Ng'enda Kigoma Mjini CCM
Jacqueline Kandidus Ngonyani (Msongozi) Viti Maalum CCM
Ahmed Juma Ngwali Ziwani CCM
Kwagilwa Reuben Nhamanilo Handeni Mjini CCM
Felista Deogratius Njau Viti Maalum CHADEMA
Oran Manase Njeza Mbeya Vijijini CCM
Nape Moses Nnauye Mtama CCM
Kenneth Ernest Nollo Bahi CCM
Thea Medard Ntara Viti Maalum CCM
Nancy Hassan Nyalusi Viti Maalum CCM
Justin Lazaro Nyamoga Kilolo CCM
Tauhida Cassian Galoss Nyimbo Viti Maalum CCM
Mariam Madalu Nyoka Viti Maalum CCM
Stanslaus Haroon Nyongo Maswa Mashariki CCM
Christopher Olonyokie Ole-Sendeka Simanjiro CCM
Omar Ali Omar Wete ACT
Salim Mussa Omar Gando CCM
Mohamed Suleiman Omar Malindi CCM
Juma Hamad Omar Ole CCM
Zulfa Mmaka Omar Viti Maalum CCM
Asya Sharif Omar Viti Maalum CCM
John Danielson Pallangyo Arumeru-Mashariki CCM
Cecilia Daniel Paresso Viti Maalum CHADEMA
Maimuna Ahmad Pathan Viti Maalum CCM
Paschal Katambi Patrobas Shinyanga Mjini CCM
Issaay Zacharia Paulo Mbulu Mjini CCM
Geophrey Mizengo Pinda Kavuu CCM
Humphrey Herson Polepole Nominated CCM
Ussi Salum Pondeza Chumbuni CCM
Venant Daud Protas Igalula CCM
Regina Ndege Qwaray Viti Maalum CCM
Mustafa Mwinyikondo Rajab Dimani CCM
Ramadhan Suleiman Ramadhan Chake Chake CCM
Abeid Ighondo Ramadhani Singida Kaskazini CCM
Rashid Abdalla Rashid Kiwani CCM
Shally Josepha Raymond Viti Maalum CCM
Yustina Arcadius Rohhi Viti Maalum CCM
Ndaisaba George Ruhoro Ngara CCM
Conchesta Leonce Rwamlaza Viti Maalum CHADEMA
Jasson Samson Rweikiza Bukoba Vijijini CCM
Lucy John Sabu Viti Maalum CCM
Simai Hassan Sadiki Nungwi CCM
Mwanakhamis Kassim Said Magomeni CCM
Maryam Omar Said Pandani CUF
John Michael Sallu Handeni Vijijini CCM
Ahmed Ally Salum Solwa CCM
Florence George Samizi Muhambwe CCM
Deo Kasenyenda Sanga Makambako CCM
Festo Richard Sanga Makete CCM
Deus Clement Sangu Kwela CCM
Seif Salum Seif Mtambile CUF
Husna Juma Sekiboko Viti Maalum CCM
Oliver Daniel Semuguruka Viti Maalum CCM
Salum Mohammed Shaafi Chonga ACT
Ahmed Mabukhut Shabiby Gairo CCM
Zubeida Khamis Shaib Mfenesini CCM
Rashid Abdallah Shangazi Mlalo CCM
Shabani Omari Shekilindi Lushoto CCM
Eric James Shigongo Buchosa CCM
Kabula Enock Shitobela Viti Maalum CCM
Juliana Daniel Shonza Viti Maalum CCM
Condester Michael Sichalwe Momba CCM
Sylivia Francis Sigula Viti Maalum CCM
Jerry William Silaa Ukonga CCM
Njalu Daudi Silanga Itilima CCM
David Ernest Silinde Tunduma CCM
Daniel Baran Sillo Babati Vijijini CCM
Mussa Ramadhani Sima Singida Mjini CCM
George Boniface Simbachawene Kibakwe CCM
Margaret Simwanza Sitta Urambo CCM
Khalifa Salum Suleiman Tunguu CCM
Suleiman Haroub Suleiman Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi CCM
Zaytun Seif Swai Viti Maalum CCM
Edwin Enosy Swalle Lupembe CCM
Joseph Anania Tadayo Mwanga CCM
Shabani Hamisi Taletale Morogoro Kusini Mashariki CCM
Munde Abdallah Tambwe Viti Maalum CCM
Priscus Jacob Tarimo Moshi Mjini CCM
Khadija Shaaban Taya Viti Maalum CCM
Grace Victor Tendega Viti Maalum CHADEMA
Anatropia Lwehikila Theonest Viti Maalum CHADEMA
Daniel Awack Tlemai Karatu CCM
Fatma Hassan Toufiq Viti Maalum CCM
Toufiq Salim Turky Mpendae CCM
Rose Cyprian Tweve Viti Maalum CCM
Abdallah Hamis Ulega Mkuranga CCM
Mwanaisha Ng'anzi Ulenge Viti Maalum CCM
Tecla Mohamedi Ungele Viti Maalum CCM
Khamis Ali Vuai Mkwajuni CCM
Mwita Mwikwabe Waitara Tarime Vijijini CCM
Jafari Chege Wambura Rorya CCM
Anastazia James Wambura Viti Maalum CCM
Amina Bakar Yussuf Viti Maalum CCM
Selemani Jumanne Zedi Bukene CCM
Jonas Van Zeeland Mvomero CCM
Mwantumu Mzamii Zodo Viti Maalum CCM
Mussa Azzan Zungu Ilala CCM

Marejeo hariri

  1. Member of the Parliament, tovuti ya Bunge, iliangaliwa Aprili 2022