Maureen Eke

mchezaji wa mpira wa miguu

Maureen Eke (alizaliwa 19 Desemba 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama kiungo. Maureen ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya nchini Nigeria na alishiriki katika Kombe la Dunia la FIFA mnamo mwaka 2007. Pia anacheza katika klabu ya Delta Queens FC katika jimbo la Delta, Nigeria . [1]

Maureen Eke
Amezaliwa 19 Desemba 1986
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  1. List of Players. FIFA Women's World Cup China 2007. FIFA (2007). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-14. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maureen Eke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.