Maurice Kirya

Mwanamuziki wa Uganda

Maurice Kirya (alizaliwa 4 Novemba 1984) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo, pia ni mwigizaji kutoka Uganda. Ana jina maarufu katika Afrika Mashariki na uzoefu wa zaidi ya muongo mmoja katika tasnia ya muziki.

Albamu na Nyimbo hariri

 • Misubbaawa,2009
 • The book of Kirya, 2012
 • Mwooyo, 2015
 • Free Dreams, 2017
 • Beyond Myself,2019
 • To Love You
 • Munonde
 • Gimme Light
 • So Cold
 • Busaabala
 • Never Been Loved
 • Njagala gwe
 • Njagala gwe Rmx
 • Beera Naabo
 • Beera Naabo Rmx
 • Binadamu featuring AY
 • Let’s go!
 • Stop
 • Stop RMX
 • Boda Boda
 • Tell Me
 • Village girl featuring Valerie Kimani
 • Locals and native feat Indigenous
 • Revolution
 • Revolution Rmx feat Navio & Da myth
 • Silent Night
 • Work it out
 • Bemoola
 • Money
 • Hold on[1][2]


Viungo vya Nje hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maurice Kirya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.