Mbugani (maana)
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Mbuga ni jina la eneo ambako kuna mazingira ya uoto wa manyasi au eneo lililopo karibu na mbuga kwa maana ya hifadhi ya wanyama au mazingira asilia kama mbuga wa wanyama.
Kwa hiyo "Mbugani" pamoja na "Mbuga" inapatika kama jina la vijiji, vitongoji au kata kwa mfano
- Mbuga (Ulanga) katika mkoa wa Morogoro (Tanzania)
- Mbuga (Mpwapwa) katika mkoa wa Dodoma (Tanzania)