Pofu (jenasi)
(Elekezwa kutoka Mbungu)
Pofu | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Pofu magharibi
(Taurotragus derbianus) | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 2, nususpishi 5:
|
Pofu, mbungu au mbunju (kwa Kiing. eland) ni wanyamapori wa jenasi Taurotragus katika familia Bovidae. Wanatokea savana zenye miti katika Afrika. Wanyama hawa ni wakubwa kuliko spishi nyingine za Bovidae za Afrika. Rangi yao ni kahawianyekundu, kahawia, hudhurungi au kijivu na mara nyingi wana milia ya wima mbavuni. Wana ngozi ndefu chini ya koo lao. Pembe zao ni ndefu kiasi, zile za jike ndefu kuliko zile za dume.
Spishi
hariri- Taurotragus derbianus, Pofu Mkubwa (Giant Eland)
- Taurotragus d. derbianus, Pofu Mkubwa Magharibi (Western Giant Eland)
- Taurotragus d. gigas, Pofu Mkubwa Mashariki (Eastern Giant Eland)
- Taurotragus oryx, Pofu wa Kawaida (Common Eland)
- Taurotragus o. livingstonei, Pofu wa Zambia (Livingstone's Eland)
- Taurotragus o. oryx, Pofu Kusi (Cape Eland)
- Taurotragus o. pattersonianus, Pofu Mashariki (East African Eland)
Picha
hariri-
Pofu kusi
-
Pofu mashariki
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pofu (jenasi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |