Mcheri
Mcheri (Prunus spp.) | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mcheri uliotoa maua
| ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Micheri ni miti ya jenasi Prunus, na nusujenasi Cerasus. Matunda yao huitwa cheri. Kuna spishi nyingi za micheri, lakini mbili tu hupandwa sana katika Ulaya na Asia na pia katika Amerika, Australia na Afrika ya Kaskazini-magharibi: mcheri mtamu (Prunus avium) na mcheri mchachu (P. cerasus).
Spishi
haririPicha
hariri-
Maua
-
Majani na cheri bichi
-
Cheri bivu mtini
-
Cheri nyeusi
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mcheri kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |