Melissa Anne Barbieri (alizaliwa 20 Februari 1980) ni golikipa wa kimataifa wa Australia ambaye anachezea klabu ya Melbourne City katika ligi ya A-League Women.

Melissa Barbieri
Melissa Barbieri

Alicheza mechi zaidi ya 86 akiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia na akashiriki mashindano manne ya Kombe la Dunia la FIFA la wanawake . Barbieri alistaafu katika soka la kimataifa mwaka 2015. [1]

Maisha ya awali na elimu hariri

Barbieri alipata ufadhili wa masomo katika taasisi ya michezo ya Victoria. [2]

Maisha binafsi hariri

Barbieri alipata mtoto wake wa kwanza wa kike, mwaka 2013. [1]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Melissa Barbieri retirement: Matildas veteran goalkeeper retires from international football". 
  2. "Barbieri set to break the code". AAP/Sydney Morning Herald. 3 March 2007. Iliwekwa mnamo 21 April 2008.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melissa Barbieri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.