Melville Island (Northwest Territories and Nunavut)
Melville Island (Northwest Territories and Nunavut) ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Kanada (Northwest Territories na Nunavut).
Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 42,149, ila hakina wakazi.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Melville Island (Northwest Territories and Nunavut) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |