Mercedes Benz
(Elekezwa kutoka Mercedes-Benz)
Mercedes Benz ni kampuni kubwa ya magari inayojihusisha na utengenezaji wa magari madogo, malori, mabasi n.k.
Makao makuu yako Stuttgart, Baden-Württemberg, Ujerumani.
Jina Mercedes Benz lilitokea mnamo mwaka 1926 kutoka kwa Daimler Benz.
Historia
haririMercedes Benz ni gari la kwanza la petroli lililotengenezwa na Karl Benz, Benz Patent Motorwagen, kutokana na ufadhili wa na Bertha Benz na kupewa hatimiliki Januari 1886. Gari hili liliuzwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 1901 na kampuni ya Daimler-Motoren-Gesellschaft.
Ni gari ambalo mara nyingi huuzwa kwa bei kubwa sana na yamezoeleka sana Marekani na nchi zilizoendelea kiuchumi. Kuna aina nyingi za magari kama hayo, kama vile yenye milango sita, minne, na mengine marefu,
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |