Mercedes Benz

BENZ SLS AMG

Mercedes Benz ni kampuni kubwa ya magari inayojihusisha na utengenezaji wa magari madogo, malori, mabasi n.k.

Makao makuu yako Stuttgart, Baden-W├╝rttemberg, Ujerumani.

Jina Mercedes Benz lilitokea mnamo mwaka 1926 kutoka kwa Daimler Benz.

HistoriaEdit

Mercedes Benz ni gari la kwanza la petroli lililotengenezwa na Karl Benz, Benz Patent Motorwagen, kutokana na ufadhili wa na Bertha Benz na kupewa hatimiliki Januari 1886. Gari hili liliuzwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 1901 na kampuni ya Daimler-Motoren-Gesellschaft.