Mfuu

(Elekezwa kutoka Mgege)
Mfuu
Mfuu maplamu-meusi (Vitex doniana)
Mfuu maplamu-meusi (Vitex doniana)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Lamiales (Mimea kama guguchawi)
Familia: Lamiaceae (Mimea iliyo mnasaba na mrehani)
Jenasi: Vitex
L.
Ngazi za chini

Spishi 250, 11 katika Afrika ya Mashariki:

Mifuu (pia mifuru au mifudu) ni miti ya jenasi Vitex katika familia) Lamiaceae. Spishi nyingine huitwa mbwanga, mgege, msasati, mtalali au mvumba.

Jenasi hiyo ina spishi takriban 250 na kati ya hizo kadhaa zinatokea Afrika ya Mashariki.

Matunda yake yalikayo huitwa mafuu na yana rangi ya nyeusi, zambarau au nyekundu.

Spishi za Afrika ya Mashariki

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfuu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.