Michał Pazdan (alizaliwa 21 Septemba 1987) ni mchezaji wa soka wa Poland ambaye anacheza kama beki wa nyuma wa klabu ya Legia Warsaw na timu ya taifa ya Poland.

Michał Pazdan

Kazi ya klabu hariri

Pazdan alianza kazi yake ya soka katika klabu ya Hutnik Kraków.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michał Pazdan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.