Michael H. Corbin (amezaliwa 1960) ni afisaanayetoa huduma za kigeni na mwanadiplomasia wa Marekani. Aliweza kutumikia kama balozi wa nchi hiyo huko Muungano wa Falme za Kiarabu. Aliweza kuteuliwa katika nafasi hiyo mnamo Mei ya tarehe 9 mwaka 2011, na kuweza kupitishwa na  Seneti ya Marekani[1] Juni ya tarehe 30 na  kuapishwa chini ya katibu wa masuala ya kisiasa wa Marekani ambaye alijulikana kama William J. Burns mnamo Julai ya tarehe 25.[2] [3][4]Aliweza kuwasili Abu Dhabi mnamo Julai ya rehe 27 na kuwasilisha Hati tambulishi (nyaraka muhimu zilizokuwa zikimtambulisha kama balozi katika nchi pokezi) chini ya Naibu waziri wa masuala ya mambo ya nje Juma Mubarak Al Junaibi katika julai ya tarehe 28 iliyofuatia.[5][6]

Michael Corbin

Michael H. Corbin
Amezaliwa 1960
Kazi yake afisaanayetoa huduma za kigeni na mwanadiplomasia

Aliweza kuhitimu katika Chuo cha Swarthmore, akiwa na Shahada ya sanaa. Aliweza kutumikia kama mlinzi wa amani kule Mauritania kuanzia mwaka 1982 hadi mwaka 1984.[7] Alikuwa ni waziri mshauri katika uchumi na masuala ya kisiasa kule Misri kuanzia mwaka 2003 mpaka mwaka 2006. Alikuwa ni Charge’ d’Affaires huko Syria, kuanzia mwaka 2006 mpaka mwaka 2008.[8] Alikuwa ni waziri mshauri kwenye Bureau of Near Eastern Affairs kuanzia mwaka 2009 mpaka mwaka 2011.[9]

Lakini pia aliweza kutumikia kama Mkurugenzi wa Caliburn International, Mkandarasi wa kijeshi ambae hushughulikia oparesheni zainazohusu makazi ya muda ya kuishi kwa watoto wasiojiweza na wasio na watu wowote wa kuandamana nao. [10][11]

Marejeo hariri

  1. AHLBERG, KRISTIN L. (2008). "Building a Model Public History Program: The Office of the Historian at the U.S. Department of State". The Public Historian 30 (2): 9–28. ISSN 0272-3433. doi:10.1525/tph.2008.30.2.9. 
  2. "Bradtke, Hon. Robert Anthony, (born 11 Oct. 1949), United States Ambassador to Croatia, 2006–09; Senior Advisor for Partner Engagement on Syria Foreign Fighters, US Department of State, 2014–15", Who's Who (Oxford University Press), 2007-12-01, iliwekwa mnamo 2022-08-10 
  3. "Appointments.". Archives of Dermatology 147 (8): 895. 2011-08-01. ISSN 0003-987X. doi:10.1001/archdermatol.2011.224. 
  4. "State Department, Despatch, Transmission of Original Copy of a United States - German Agreement, March 31, 1". Weapons of Mass Destruction. Iliwekwa mnamo 2022-08-10. 
  5. "Foreign Relations", United Arab Emirates (Routledge Revival) (Routledge), 2015-07-24: 21–21, ISBN 978-1-315-69755-0, iliwekwa mnamo 2022-08-10 
  6. "Barbour, Walworth, (4 June 1908–21 July 1982), US Ambassador to Israel, 1961–73", Who Was Who (Oxford University Press), 2007-12-01, iliwekwa mnamo 2022-08-10 
  7. Lamb, Yanick Rice (2009). "Supplementing the News: An Industry-Based Description of Magazine Supplements in the Black Press 1950–2000". Journal of Magazine Media 11 (1). ISSN 2576-7895. doi:10.1353/jmm.2009.0001. 
  8. Burroughs, Todd Steven (2009-02-09), "Abu-Jamal, Mumia", African American Studies Center (Oxford University Press), iliwekwa mnamo 2022-08-10 
  9. ILIINGIZWA 10-08-2022
  10. "Famous building stones of our Nation's capital". Fact Sheet. 2012. ISSN 2327-6932. doi:10.3133/fs20123044. 
  11. "Unaccompanied Migrant Children", Childhood Studies (Oxford University Press), 2022-02-21, iliwekwa mnamo 2022-08-10